Nenda kwa yaliyomo

shimo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

shimo ji-ma (wingi mashimo)

  1. Mtofo ardhini unaochimbwa na wanyama kama sungura au fisi kwa ajili ya kujificha au kuzaa.

Tafsiri

[hariri]